Wale wote hawana uwezo wa kulipia SHA, tumewaorothesha, sasa serikali Itawalipia ~ President Ruto

Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali italipia Bima ya Afya ya Jamii (SHA) kwa Wakenya wote ambao hawana uwezo wa kujigharamia. Amesema tayari wameshaorodheshwa na hakuna yeyote atakayeachwa nyuma katika mpango wa kuhakikisha huduma za afya bora kwa wote.

Social Share

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WP Radio
WP Radio
OFFLINE LIVE